Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) Profesa Maulilio Kipanyula ameeleza kuwa, fursa zitolewazo na Jopo la Kimataifa la Sayansi na Mabadiliko ya Tabia nchi (IPCC) zitajulikana mapema na kuwa rahisi kuzipata endapo watafanya kazi kwa kushirikiana na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA). Prof. Kipanyula amesema […]
